#EXCLUSIVE: GEORGE JOB AIBUKA MKATABA wa FEI TOTO YANGA, DICKSON JOB – “WANAHITAJI WASIMAMIZI”….

EXCLUSIVE: GEORGE JOB AIBUKA MKATABA wa FEI TOTO YANGA, DICKSON JOB – “WANAHITAJI WASIMAMIZI”…. GLOBAL …





Make Money Online on paidwork.com

Make Money Online on zoombucks.com

Make Money Online on squishycash.com



EXCLUSIVE: GEORGE JOB AIBUKA MKATABA wa FEI TOTO YANGA, DICKSON JOB – “WANAHITAJI WASIMAMIZI”…. GLOBAL …



source

GLOBAL TV ONLINE,HABARI MPYA,GLOBAL TV,BREAKING NEWS,george job,fei toto,feisal salum,MILLARD AYO,WASAFI TV,AZAM SPORTS,YANGA SC,SIMBA SC,AZAM FC,USAJILI YANGA,USAJILI SIMBA,USAJILI AZAM,TRENDING VIDEOS

🔥0

32 Comments

  • Global TV Online

    December 29, 2022 - 7:38 am

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 https://bit.ly/3MraYdQ

  • Joseph Mtemi

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Kwa afya ya Yanga, ni bora kumwacha aondoke la sivyo maboresho makubwa watakayompa Feisal yatakuwa Kansa. Kila mzawa atadai kivyake na yeye ayapate. Matokeo yake ni kushusha moral ya timu. Wakimruhusu aondoke, kansa hiyo itahamia Azam kama kweli wamemwekea Feisal ofa hiyo mezani.

  • Said Suleiman

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Mchezaji kama mwanamke akishakwambia bwana mwingine hakuna mjadala achana nae haraka sana

  • Amali Kakiva

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Ameondoka lamine moro.job ni mchezaji mzuri ila so mchezaji wakutaka mihela mingi akizingua aondoke

  • Amali Kakiva

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Wewe acha kudanganya watu feisal hawezi kuwapa yanga presha yupo aziz ki ni zaidi ya feisal .au saido ameindoka sembuze fei.hata job akizingua aondoke!!

  • Hanifa Omar

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Fey wewe nimchezaji mkubwa Sana lazima ulipwe nzuli mm kama mshabiki wa Simba 🤣🤣👌 twende zetu lasivyo mkwanja mezani

  • Anitha Widambe

    December 29, 2022 - 7:38 am

    NA NYIE WACHAMBUZI MWACHENI AENDE AZAM NI WAO TU MASILAHI YAO NA KIDOGO MNO. HILO NI FUNZO KWA VIONGOZI WA TIMU TOFAUTI KUWADHARAU NA KUWAHUSUDU WACHEZAJI WA KIGENI.

  • Iddi Mngazija

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Ukimsikiliza uyu jamaa unahitaji kuwa na karam na karatasi kwaajili ya kuchukua madini👏👏👏

  • amani salumu

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Uchambuzi safi kabisa 🙏🙏

  • madera

    December 29, 2022 - 7:38 am

    nimependa ulivomalizia huna ushaur wa kuwapa wabongo wengi tunapenda kujifanya kila kitu tunaweza kushaur

  • Richard Shayo

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Jamaa anajua kuchambua kuliko matako yule kazumali

  • Latipha Ramadhani

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Ndani ya George mwaisa job naona namna anavyo muhulumia feitoto kwa mambo anayo fanya na management lakini pia naona jins anavyo jaribu kufikisha ujumbe kwa feisal na management yake kwa ujumla maana naye anawachezaji anao wamenage kwa iyo anaelewa

  • Give Mbwilo

    December 29, 2022 - 7:38 am

    sawa ila kiswanglish balaa 😡😡

  • Peter Tarimo

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Upo vizuriii San br

  • Charles Joseph

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Kamua kwenda kwenye fweza Utopolo acha kutapatapa pambafuuuu

  • VOIC DESITION

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Joj job wewe ni mchambuzi aisee

  • Nicholaus Kilosa

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Kila mchezaji ana mkataba wake tofauti na mwenzake,, mishahara inatofautiana kati ya mchezaji na mchezaji!!

  • Suzan charles

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Management ya yanga ni mbovu mbovu sana inafanya mambo kilocal sana

  • Patrick Ngalya

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Huyu jamaa Huwa nampenda sana sababu amenyooka sana hanaga utimu kwenye ukweli safi sana Feisal Hana manager zaid ya mzazi wake ni kosa kubwa sana

  • Joel Baltazali

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Umeeleweka broo

  • Daud Khatib

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Uyoo. Job. Anajuwa. Kitu. Kuliko. Wahusika. Wenyewe. Yanga. ???

  • Mohamed Jeizan

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Dada wa utopolo na meneja wa wachezaji wa utopolo.
    Huyu anadai wachezaji wake wanapata kinacho stahili.
    Uwongo mtupu SI ajabu wachezaji wake wanapata laki laki Kwa mwezi.
    Hiyo ndio ishatoka hojioneni mpaka kesho.

  • Hassan Paramana

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Engineer kama inawezekana mpeni hicho fei anacho taka mbona tunataka kuumizana roho sahizi hivi tunakumbuka wapi tulipo toka na huyu fei toto kumbukeni kaipambania timu ktk nyakati zote mbili furaha na kilio jamani jamani yasije yakatukuta kama ya liverpool na mane kuuzwa Bayer munich. huyo mtu anamapenzi na timu maslahi anayo yataka ni kutokana na khali ya uchumi pia kupanda daaah nahisi kupumua punzi ya moto wallah nilikuwaga nasikiaga tu Ahmed Ally anapumulia pumzi ya moto kisa mpira na mimi leo nimehihisi kudaaaadeekiii mpaka kifua kinabana shubaaaminti 😭🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

  • Uwezo Jonasi

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Ukweli fei na hela anayo lipwa yanga haviendani hata. Kidg

  • James Chumbula

    December 29, 2022 - 7:38 am

    🤔du! Uyu dada mzur kwakwer💌💓🙋💖🤗🌟

  • winstone mugarula

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Job,unajua kuchambua soka,umeeleweka,umetoa shule pia🤝

  • Benson Joseph

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Your very smart GEORGE

  • Shaban kittenge

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Wachambuz wa wasafi wapo bright sanaaa

  • Hamisi Balale

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Feitoo

  • Herry Mathayo

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Bro hupo vzr sana tofauti na yule shoga wa ndanda sec jemedari.umechambua vizuri si kimajungu.big up bro hupo vizuri

  • yusuph jilala

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Kapoteaa😂😂

  • burudani tiv

    December 29, 2022 - 7:38 am

    Kabisa broo lkn kwa habari zilizo toka mida ya saa tisa arasiri klabu ya yanga imeandika kuwa fei amekyuka kanuni za mkataba sasa izo ni shida ambazo wachezaji wetyuu wanashindwa kutambua

Comments are closed.