Ukweli kuhusu forex trading | Amrisaly alivyobadili maisha kupitia biashara hii #Forex
Amri IFX, kijana wa Kitanzania aliyebadilisha maisha yake kupitia HELA za Mtandaoni, AFUNGUKA jinsi alivyoanza hadi …
Ukweli kuhusu forex trading | Amrisaly alivyobadili maisha kupitia biashara hii #Forex
Amri IFX, kijana wa Kitanzania aliyebadilisha maisha yake kupitia HELA za Mtandaoni, AFUNGUKA jinsi alivyoanza hadi …
50 Comments
@michaelkisalisho8698
March 13, 2024 - 6:48 pmNi Kweli Kabisaa Vitu Avyosema Hasa Hapo Kwenye Kujifunza Vijana Wengine Huwa Hawataki Kujifunza Wanataka Tu Pesa Za Chap Chap Ndio Wanapigwa π
@michaelkisalisho8698
March 13, 2024 - 6:48 pmNimependa The Way Anavyojibu Kwa Utulivu Na Anaelezea Vizuri Sana Yaani Mtu Unamuelewa BIG SANA ππͺπͺ
@paulconrad7091
March 13, 2024 - 6:48 pmNili tapeliwa 100000…sto sahau
@syntaxsaintezzer5547
March 13, 2024 - 6:48 pmNashangaaa watu wanasema FOREX ngumu ila wana sahau cryptocurrencies kam BITCOIN ambayo moja ni 130M tzs na ethereum 1 ni $2,667 usd yeni kule ndo sio pw market ni high volatile yeni risk balaaaa !
@Bigdreamstv966
March 13, 2024 - 6:48 pmhttps://youtu.be/alUWcbCfN3Y?si=CC2I_2QEcnJ3QSnp
@user-rk3iz5ci5z
March 13, 2024 - 6:48 pmNikitaka kukutana na amri niongee nae what should I actually do
@ramadhannjila5178
March 13, 2024 - 6:48 pmbrother ameiva, noma sana
@eliezerwamungu4614
March 13, 2024 - 6:48 pmForex siy biashara rahisi kam gisi watu wanavyozani ,inawez ikachukuw hata myaka 2 had 5 ili uw successful forex trader
@hustlersworld93
March 13, 2024 - 6:48 pmTunaomba utuletee liqudator kaka atupe story
@annacyril5832
March 13, 2024 - 6:48 pmπ₯π₯π₯
@KingaoMBALI-wk2gg
March 13, 2024 - 6:48 pmPatience
@fxkigali
March 13, 2024 - 6:48 pmAhsante kwa info zinazohusu forex na online business kwa ujumula,
Mimi naomba utuleteye Jama moja hapo Tanzania tunasikia kama ametengeneza an Automate HFT Bot inayo saidia kufanya kazi ya forex without engagement of human knowledge. Tujue kama ni ukweli hasa au ni utapeli tu.
Naitwa Cisco intermediate Forex Trader kutoka Kigali inchini Rwanda
@ZaiKijiweNongwa-yd9zw
March 13, 2024 - 6:48 pmJamaa yupo real sana
@pikipiki_market
March 13, 2024 - 6:48 pmMaswali anayo uliza dah π’
@pikipiki_market
March 13, 2024 - 6:48 pmAmr hujawahi zingua
@boniphacegervas8118
March 13, 2024 - 6:48 pmTc matter of time vijana wengi watajifunza fx
@goyamwinuka8842
March 13, 2024 - 6:48 pmOne thing about any money is how you monitoring your money and keep it consistent not to loose but increase it. We call it success
@iddyvedastus8457
March 13, 2024 - 6:48 pmWe jifunze forex hata miaka laki 8 lakini kama hujaizoea pesa, narudia tena kama HUJAIZOEA PESA huwezi ku trade forex NEVAAAAAAAA
@anthonylukuwi1968
March 13, 2024 - 6:48 pmAppreciate
@ephraimndelwa4073
March 13, 2024 - 6:48 pmTangu march 2023 najifunza fx na sijaanza Kupata profit Bado nachoma akaunt
@jessenelson5647
March 13, 2024 - 6:48 pmππππ
@user-fj7zp7ow9z
March 13, 2024 - 6:48 pmTunaomba atupe sehm sahihi ya kupt maalif pia app tunayowez kutumia
@user-fj7zp7ow9z
March 13, 2024 - 6:48 pmTunaomba atupe sehm sahihi ya kupt maalif pia app tunayowez kutumia
@user-fj7zp7ow9z
March 13, 2024 - 6:48 pmTunaomb tujue makampun na appy tunayowez kutumia pia sehm sahh ya kupt maalif
@charlieshayo546
March 13, 2024 - 6:48 pmWell said brother Amrisaly. Nataka kutoa funzo kidogo kuhusu Bitcoin and why is it so popular?
Bitcoin ni sarafu ya kidigitali ambayo inaleta mapinduzi ulimwenguni juu ya sarafu halisi (nikimwanisha paper money). Bitcoin ni token (sarafu) iliyotengenezwa kwenye mfumo wa blockchain (end to end encryption) ikimaanisha imetengenzezwa katika platform ya uficho (usiri) kati ya mpokeaji na mtumaji. Kwa maana hii ni kwamba mtu anaweza kutuma safaru hii ya kimtandao kutoka pande moja kwenda upande wa pili pasipo na public knowledge yaani uelewa wa nje. Kiufupi ni kusema kwamba Bitcoin ni sarafu ya mtandao isiyokua na tume ya usimamizi, nikisema hivi namaanisha;
Mfumo wa paper money hua unasimamiwa na mabenki makuu (central banks) kwenye kila nchi sasa haya mabenki makuu huona kila miamala inayofanyika kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwengine. Halikadhalika mabenki haya mkuu yamekua yakihusishwa na upotevu (naweza kuita wizi) wa fedha hizi za wananchi mfano mara kadhaa na katika mataifa mbalimbali ulimwenguni.
Halikadhalika mabenki haya makuu duniani yamekua na tabia ya kuchapisha noti za fedha na kuingiza katika uchumi wa nchi husika kila mara nchi husika inapopata janga fulani la kiuchumi. Unapoingiza pesa kwenye mzunguko wa uchumi itapelekea hali ya mfumuko wa bei kwa siku za mbeleni. Mfumuko huu wa bei unakuja kuathiri hali ya uchumi wa nchi na maisha ya wananchi husika.
Hii ikapelekea wananchi kukosa imani na mfumo huu wa mabenki makuu yaani paper money. Hivyo wakajaribu kuanzisha njia mbadala ya kufanya malipo na miamala ya kifedha ambayo itakua inajisimamia yenyewe (decentralized system) na hapo ndipo Bitcoin ikazaliwa ambapo kazi yake ni kutuma muamala kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine pasipo kuonekana na mtu yeyote wa tatu, hii nikimaanisha endapo watu wawili wataafikiana kutumiana fedha kutpitia sarafu hii ya kimtandao (Bitcoin) hakuna mtu yeyote yule atakayeona muamala huo hata benki kuu haitoona muhamala huo.
Ili kuweza kutuma pesa kwa mtu mmoja kwenda mwengine kupitia Bitcoin unatakiwa uwe na address (anwani) na private key (yaani funguo ya siri) na kisha pesa zako utazitunza kwenye wallet (pochi) ya kimtandao.
Kama ukipoteza private key (funguo) yako basi ndio tuseme umepoteza pesa zako moja kwa moja kwani mfumo huu wa blockchain hauna namna ya ku-recover funguo hiyo hata iliyeunda Bitcoin mwenyewe hawezi kui-recover.
Nafikiri sasa utagundua kwa nini Bitcoin imekua maarufu sana kulinganisha na crypto zingine. Ni kwa vile dhumuni la kuanzishwa kwake ni ili itumike kama sarafu ya malipo.
Nikiripoti kutoka chimbo, ni mimi George Maratu wa YouTube π
@user-ix3ep9fb7d
March 13, 2024 - 6:48 pmππΎππΎπ½
@holdpesa6317
March 13, 2024 - 6:48 pmGood
@user-ro2vn9cp8c
March 13, 2024 - 6:48 pmKaka amrisaly shkuran sana
@crackerkkaka2034
March 13, 2024 - 6:48 pmmwamba anauliza maswali ambayo sio sahihi hata kidogo, kunauhitaji wa kua na host wa podcast anaejua forex au trading
@taojuma3277
March 13, 2024 - 6:48 pmPsychology ( emotions), Good prediction of the markert na Good risk taker ( RM) yako kwenye game ndo itafanya forex iwe ngumu au rahisi kwako. It's very tough game kama huna roho nyepesi β€
@InitialMatemu
March 13, 2024 - 6:48 pmπ₯π₯π₯π₯
@alamanomsungu9556
March 13, 2024 - 6:48 pmPodcast nzuri Lakin I wish Tupate Host anaejua Forex Hata Kidogo Tyu
@mohdmohd8428
March 13, 2024 - 6:48 pmForex ngoma ingine hii baba
@jeremiahmasanja8185
March 13, 2024 - 6:48 pmKununua coz ako inagharimu shingapi brow na naipatake online
@SAMBACHEFOUNDATION
March 13, 2024 - 6:48 pmNaomba utupatie mawasiliano ya mwamba
@chiefkwanza495
March 13, 2024 - 6:48 pmAMRISALY kaongea vizuri na uhalisia wa forex
@DBIRobotics
March 13, 2024 - 6:48 pmKama hauna kazi husi-trade forex,tafuka kazi huku ukijifunza forex,ukishakuwa masta acha kazi kafanye forex
@gibbs1320
March 13, 2024 - 6:48 pmKama una taka jifunza Forex nitafute ila uwe tayari kujifunza kwa muda hakuna short cut.
UWE NA LAPTOP NA MTAJI KAMA LAKI 3.
@bullsandbearstz
March 13, 2024 - 6:48 pmAmrisal kaamua kuwaambia tu ukwelii no short cut
@paulonyenza3841
March 13, 2024 - 6:48 pmGood
@chroniclesbyKB
March 13, 2024 - 6:48 pmyou got to have a do or die mentality to make it out in the forex markets kijana ni muda sasa wa ku badilisha mitazamo yetu ya kiuchumii nakuipa nafasi hali ya utandawazi kutufanyia kazi na kutufungulia milango ya mafanikio God bless TZ traders
@babelonebarber6346
March 13, 2024 - 6:48 pmClear π€πΏ
@meddy_upette9511
March 13, 2024 - 6:48 pmHuyo ndo Amr bwanaa π₯
@emmanuellwinga5686
March 13, 2024 - 6:48 pmKwenye swala la kwanini kufundisha kwa pesa watu wabaki na msemo kwamba "there is no such thinh as something for nothing" bas
@gabylovestech
March 13, 2024 - 6:48 pmπππ
@MizzlekingFX
March 13, 2024 - 6:48 pmSeen
@jamesodatt9014
March 13, 2024 - 6:48 pmFor those who want to learn forex in a systematic way, i will be releasing a playlist together with my fellow goat @ royalkwesy two monthes from now so follow us and wait for the service, the playlists will be free, from begginer to pro, so get ready
@jamesodatt9014
March 13, 2024 - 6:48 pmWhat broker do u ,use bro am having difficulties with most brokers who link themselves with Tanzania, am just a currency, indicies day trader
@kwisa4899
March 13, 2024 - 6:48 pmFx ngumu jamani bila kufungua jicho la 3 utoboi lazima utenge muda na miaka 5 zaidi kulifungua
@makeyourowndestiny
March 13, 2024 - 6:48 pmHadithi ya Amri IFX ni ushuhuda wa nguvu ya uchumi wa mtandaoni, jambo ambalo sisi ni wenye shauku nalo kwenye Make Your Own Destiny Podcast. Tunajadili kila kitu kuhusu pesa, biashara, na mikakati ya kufanikiwa katika enzi hii ya kidijitali. Kama ulivutiwa na hadithi ya Amri na unatafuta maarifa zaidi kuhusu uhuru wa kifedha, podcast yetu inaweza kukupa mitazamo ya thamani.
Comments are closed.