Ukweli usioujua kuhusu biashara ya FOREX, Prioh 360 aeleza kwanini wengi WANAFELI au kuwa MATAPELI

Prioh 360 akizungumza kuhusu Forex Trading kwenye event ya Maujanja Meet Up iliyofanyika April 29 SeedSpace Tanzanite …

πŸ”₯1

Get Free Job Alerts in Your Email – Subscribe Now

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new jobs by email.

Join 767 other subscribers

45 Comments

 • @user-no8dm4xu9p

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Nampataje teacher uyo

 • @jakubpolska-mx9bz

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Mimi ni mpya katika kuwekeza na ninatatizika kutumia mikakati hii kwa usahihi Je, ninaweza kupata wapi wakala halali? Nani atasimamia akaunti yangu na kunifundisha jinsi ya kufanya biashara ya aina zote za sarafu za siri.

 • @alphamchele672

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Nimegundua ukiwa forex automatically unajikuta ukakiongea kimomboπŸ˜‚πŸ˜‚

 • @johncharles-bo6mc

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Ongea kiswaili uwaeleweshe watanzania wezako apo uelimishi

 • @saidimpako5186

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  kutaka hela kwa njia rahisi ni risk sana

 • @saidkanji9882

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Unaongea sana

 • @nathanielchukwu391

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Normally i don't do this, I don't praise people for any reason truth be told good works deserves appreciation, l won't deny the fact that I'm super jealous of your hard work and skill on cryptocurrencies trading. I'm proud of you and what you've done in my life , we need more people like you Mr Thomas rodriguez πŸ’―

 • @jonesleonard7249

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Good video. But let me talk about something important, I see that both young and old make mistakes that they shouldn't, I believe that everyone, young and old, should have an investment plan that increases their financial return from three to six figures, investing can be your retirement plan or your investment plan, whatever you want, but the most important thing is that you should have a profitable investment

 • @kingnyamafutv8646

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Tunaomba mtuambie kuwa MTFE ni scama au ni sehem salama ya kuwekeza

 • @ptechn6184

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  forex ni kamari kuna huwez buy alafu ukapata profit ni scam

 • @youngbona3804

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Well saidπŸ”₯πŸ”₯

 • @kwisa4899

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  This guy knows wahtbis doing

 • @godlovemanase3423

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Uyu ni Pro trader ,naqubal saaana.

 • @kendricgeorge603

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Mmh hii ni introduction tu, Nipo kwenye game kwa miaka mitatu now, ila naona kila mtu anajua anachokijua, but in reality forex is all about knowing that hakuna strategy sokoni, unahitaji kujua kusoma price action, na hakuna NAMNA nyingine ya kusoma chart isipokua kujumuisha time and price, siku zote time inaanza then price inafata, kwa hiyo kitu pekee unachoweza kukifanya katika market ni kufuatilia ni mda gani, price Inafanya kitu gani, elewa sessions in details, ila kitu kingine kuwa na objectives za week, elewa candlestick ya week Inaweza ikaelekea wapi, ukishaelewa Sasa tumia hiyo logic week nzima kuelekea kule unakotaka kuelekea, epuka kuwa na idea za busing and selling pressure, wazee mtapotea. Market is not random. Market is being run algorithmically, Kama huamini basi 😊😊

 • @waltertesha3312

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Kama mtu unataka kufanya hii biashara cha kwanza kabisa ni lugha jifunze kingereza kwanza maana forex kilakitu ni kwa kingereza, cha. Pili mtu uwe na kazi ya kukuingizia kipato cha kukidhi mahitaji muhimu kabisa kama chakula, mavazi, makazi yani kodi ya nyumba na pesa ya bando, cha tatu ni kusoma soma, soma, soma, soma tena forex inachukua muda kuimaster mm mwenyewe ninajifunza kila uchao na sio kusoma tu ni kuifanya pia yani kuweka trade zako na hii ni kwa kutumia demo acc. Na wazungu sio wajinga kuweka demo yani wanajua ni ngumu ndio maana wakaiweka kwahiyo fanya kwanza kwa kutumia demo na demo yako ifanye iwe kama real acc utaanza kielewa forex taratibu………… vitu vingine vya msingi sana mwamba kashaelezea hapo mm mwenyewe bado niko kwanye njia ya kujifunza nimeona nishee hivi vidogo ninavyovifahamu

 • @chizcom4229

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  saikoloji ya forex ni betting.ingekuwa kila mtu kuwini basi isingekuwa kila mtu

 • @eddiemohamed9003

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  I appreciate πŸ‘Š

 • @mazengojohn2090

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Ogea kiswahii wew

 • @georgeburchard4872

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Huwa naboreka sana kuona mtanzania anazungumza na audience ambayo Ni ya kitanzania halafu akaanza kuchanganya lugha ya kingereza! Basi bora uongee kingereza kabisa tujue Ila huu ushamba wa sentensi moja kiswahili ya pili kingereza unaboa na unakata!

 • @barrynzeyimana6270

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Swahili pamahani

 • @leadflavour_tz

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Forex bhana πŸ˜… nili trade nkapiga Pesa πŸ’Έ Sana lakini kama una stress usiingie Sokoni ku trade, pia kabla ya kufanya maswala Soma hali ya hewa kwanza, inalipa kinoma. #BLUE ndo rangi yetu Wanangu japo si rahisi, we're risk takers.

 • @nyauclassictv805

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Tatizo la FOREX nasikia ni kama kamari I mean bahati nasibu bora Ufanye Sport Market kwenye crytpo……hauwezi poteza msingi wako au mtaji.

 • @geofreymanyologa9489

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Forex ni ww na saikolojia yako dhidi ya Market,biashara nyingine zinatofautiana na Forex padogo sana kwmb zenyewe hazihusiani chcht na saikolojia ya mtu ila Forex ina kitu kinaitwa market psychology na hapo ndipo traders wanapo iona ngumu na wengine wana fanikiwa wanapo ishinda saikolojia ya soko….Forex hautaki watu wenye emotions,naomba niishie hapo

 • @stonemsaku7416

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  You tried to explain well! but Still it's foolish business

 • @mofatunes1432

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  nimejifunza forex kupitia huyu mwamba!!…Amani ndunguru thanks brother

 • @ankalmzito254

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  SNS KWANI HAMJAONA ASLAY KATOA#ALBAM???πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ….

 • @DBSSportau

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Forex ni kama kamali tuuh shauli yenuπŸ˜‚πŸ˜‚

 • @EmmanuelKabipe-nr1np

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Presenter,your name plz

 • @EmmanuelKabipe-nr1np

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Well,good,excellent Presentation!!

 • @ENGAPUNEEMAACHANNEL

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Kiukweli niwambie ndg zangu wa Tanzania hakuna Hela inayo patikana kirahisi jaman nahasa Hawa watu wa kuchanganya laugh ni hatari sana chamsingi tu muweni makini sana

 • @RithaPhellan-qw3uh

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Safi kabisa huyu ni mwamba haswa,SNS mtafute na mwamba anaitwa Pipstorm,Pipsmakertz…..

  Forex is Real na nikiona baadhi ya wasiojua chochote wanaponda tu huwa inanishangaza na kuniumiza…

  Lakini maisha ni kuchagua njia uitakayo mwenyewe🀣🀣🀣

 • @1robbyposh

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Safi

 • @saumusalimuhassan2499

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Ok

 • @AnthonysTradingChannel

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Your video was well-explained, thank you for uploading.

 • @IMANWILLIAM-bl2ui

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  SnS nyinyi ndo media pekee mliojitolea kuwaelimisha watanzania. kuhusu technology ya financial markets, wenzetu wasauz, WA Kenya,WA Uganda, Botswana wako mbal sana kwenye hii industry sisi bado Kuna wapuuz wanaamin forex is scam

 • @pipsJoker

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  leo nimemuona kaka mkubwa 🀣🀣🀣🀣 muendeleee kutupa elimu ili tuje tupate cha kuwambia watoto wetu

 • @simonballu1124

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Q NET? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚PUNGUZENI NJAA SNS TUNAWAAMINI ILA MNACHOKIFANYA KUWAPA AIRTIME HAWA MATAPELI TUTAANZA KUWAPUUZA HIVI Q NET HAMJUI KUWA NI MATAPELI , JUZI TU KALYANDA IMELIZA WATU LEO TENA UNALETA MAMBO YA NETWORK MARKETING, WATANZANIA WANAJIFUNZA SIO WAJINGA.

 • @stephansonhenry-id4wg

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Mindset ni muhimu,

 • @stephansonhenry-id4wg

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Babypips ndo msingi mzima wazee πŸ˜‚

 • @gildasnyaki3812

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Tuliofanya network marketing na tunatrade ni hustlers

 • @emmanueltimba1011

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Camera Man Inabid Ujue Unashoot Kipi Na Kwa Nini

 • @michaelsamson9663

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Nataman kujifunza vip Kuna faida kubwa

 • @thepenatech5102

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Forex is real but only 1% win

 • @barakanyamafu5937

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  MTFE nayo mnaijua

 • @priscusfabian957

  February 13, 2024 - 2:29 pm

  Forex is knowledge… prioh big up upo vizuri

Comments are closed.