Ukweli usioujua kuhusu biashara ya FOREX, Prioh 360 aeleza kwanini wengi WANAFELI au kuwa MATAPELI
Prioh 360 akizungumza kuhusu Forex Trading kwenye event ya Maujanja Meet Up iliyofanyika April 29 SeedSpace Tanzanite …
Ukweli usioujua kuhusu biashara ya FOREX, Prioh 360 aeleza kwanini wengi WANAFELI au kuwa MATAPELI
Prioh 360 akizungumza kuhusu Forex Trading kwenye event ya Maujanja Meet Up iliyofanyika April 29 SeedSpace Tanzanite …
45 Comments
@user-no8dm4xu9p
February 13, 2024 - 2:29 pmNampataje teacher uyo
@jakubpolska-mx9bz
February 13, 2024 - 2:29 pmMimi ni mpya katika kuwekeza na ninatatizika kutumia mikakati hii kwa usahihi Je, ninaweza kupata wapi wakala halali? Nani atasimamia akaunti yangu na kunifundisha jinsi ya kufanya biashara ya aina zote za sarafu za siri.
@alphamchele672
February 13, 2024 - 2:29 pmNimegundua ukiwa forex automatically unajikuta ukakiongea kimomboππ
@johncharles-bo6mc
February 13, 2024 - 2:29 pmOngea kiswaili uwaeleweshe watanzania wezako apo uelimishi
@saidimpako5186
February 13, 2024 - 2:29 pmkutaka hela kwa njia rahisi ni risk sana
@saidkanji9882
February 13, 2024 - 2:29 pmUnaongea sana
@nathanielchukwu391
February 13, 2024 - 2:29 pmNormally i don't do this, I don't praise people for any reason truth be told good works deserves appreciation, l won't deny the fact that I'm super jealous of your hard work and skill on cryptocurrencies trading. I'm proud of you and what you've done in my life , we need more people like you Mr Thomas rodriguez π―
@jonesleonard7249
February 13, 2024 - 2:29 pmGood video. But let me talk about something important, I see that both young and old make mistakes that they shouldn't, I believe that everyone, young and old, should have an investment plan that increases their financial return from three to six figures, investing can be your retirement plan or your investment plan, whatever you want, but the most important thing is that you should have a profitable investment
@kingnyamafutv8646
February 13, 2024 - 2:29 pmTunaomba mtuambie kuwa MTFE ni scama au ni sehem salama ya kuwekeza
@ptechn6184
February 13, 2024 - 2:29 pmforex ni kamari kuna huwez buy alafu ukapata profit ni scam
@youngbona3804
February 13, 2024 - 2:29 pmWell saidπ₯π₯
@kwisa4899
February 13, 2024 - 2:29 pmThis guy knows wahtbis doing
@godlovemanase3423
February 13, 2024 - 2:29 pmUyu ni Pro trader ,naqubal saaana.
@kendricgeorge603
February 13, 2024 - 2:29 pmMmh hii ni introduction tu, Nipo kwenye game kwa miaka mitatu now, ila naona kila mtu anajua anachokijua, but in reality forex is all about knowing that hakuna strategy sokoni, unahitaji kujua kusoma price action, na hakuna NAMNA nyingine ya kusoma chart isipokua kujumuisha time and price, siku zote time inaanza then price inafata, kwa hiyo kitu pekee unachoweza kukifanya katika market ni kufuatilia ni mda gani, price Inafanya kitu gani, elewa sessions in details, ila kitu kingine kuwa na objectives za week, elewa candlestick ya week Inaweza ikaelekea wapi, ukishaelewa Sasa tumia hiyo logic week nzima kuelekea kule unakotaka kuelekea, epuka kuwa na idea za busing and selling pressure, wazee mtapotea. Market is not random. Market is being run algorithmically, Kama huamini basi ππ
@waltertesha3312
February 13, 2024 - 2:29 pmKama mtu unataka kufanya hii biashara cha kwanza kabisa ni lugha jifunze kingereza kwanza maana forex kilakitu ni kwa kingereza, cha. Pili mtu uwe na kazi ya kukuingizia kipato cha kukidhi mahitaji muhimu kabisa kama chakula, mavazi, makazi yani kodi ya nyumba na pesa ya bando, cha tatu ni kusoma soma, soma, soma, soma tena forex inachukua muda kuimaster mm mwenyewe ninajifunza kila uchao na sio kusoma tu ni kuifanya pia yani kuweka trade zako na hii ni kwa kutumia demo acc. Na wazungu sio wajinga kuweka demo yani wanajua ni ngumu ndio maana wakaiweka kwahiyo fanya kwanza kwa kutumia demo na demo yako ifanye iwe kama real acc utaanza kielewa forex taratibu………… vitu vingine vya msingi sana mwamba kashaelezea hapo mm mwenyewe bado niko kwanye njia ya kujifunza nimeona nishee hivi vidogo ninavyovifahamu
@chizcom4229
February 13, 2024 - 2:29 pmsaikoloji ya forex ni betting.ingekuwa kila mtu kuwini basi isingekuwa kila mtu
@eddiemohamed9003
February 13, 2024 - 2:29 pmI appreciate π
@mazengojohn2090
February 13, 2024 - 2:29 pmOgea kiswahii wew
@georgeburchard4872
February 13, 2024 - 2:29 pmHuwa naboreka sana kuona mtanzania anazungumza na audience ambayo Ni ya kitanzania halafu akaanza kuchanganya lugha ya kingereza! Basi bora uongee kingereza kabisa tujue Ila huu ushamba wa sentensi moja kiswahili ya pili kingereza unaboa na unakata!
@barrynzeyimana6270
February 13, 2024 - 2:29 pmSwahili pamahani
@leadflavour_tz
February 13, 2024 - 2:29 pmForex bhana π nili trade nkapiga Pesa πΈ Sana lakini kama una stress usiingie Sokoni ku trade, pia kabla ya kufanya maswala Soma hali ya hewa kwanza, inalipa kinoma. #BLUE ndo rangi yetu Wanangu japo si rahisi, we're risk takers.
@nyauclassictv805
February 13, 2024 - 2:29 pmTatizo la FOREX nasikia ni kama kamari I mean bahati nasibu bora Ufanye Sport Market kwenye crytpo……hauwezi poteza msingi wako au mtaji.
@geofreymanyologa9489
February 13, 2024 - 2:29 pmForex ni ww na saikolojia yako dhidi ya Market,biashara nyingine zinatofautiana na Forex padogo sana kwmb zenyewe hazihusiani chcht na saikolojia ya mtu ila Forex ina kitu kinaitwa market psychology na hapo ndipo traders wanapo iona ngumu na wengine wana fanikiwa wanapo ishinda saikolojia ya soko….Forex hautaki watu wenye emotions,naomba niishie hapo
@stonemsaku7416
February 13, 2024 - 2:29 pmYou tried to explain well! but Still it's foolish business
@mofatunes1432
February 13, 2024 - 2:29 pmnimejifunza forex kupitia huyu mwamba!!…Amani ndunguru thanks brother
@ankalmzito254
February 13, 2024 - 2:29 pmSNS KWANI HAMJAONA ASLAY KATOA#ALBAM???π°πͺπ°πͺ….
@DBSSportau
February 13, 2024 - 2:29 pmForex ni kama kamali tuuh shauli yenuππ
@EmmanuelKabipe-nr1np
February 13, 2024 - 2:29 pmPresenter,your name plz
@EmmanuelKabipe-nr1np
February 13, 2024 - 2:29 pmWell,good,excellent Presentation!!
@ENGAPUNEEMAACHANNEL
February 13, 2024 - 2:29 pmKiukweli niwambie ndg zangu wa Tanzania hakuna Hela inayo patikana kirahisi jaman nahasa Hawa watu wa kuchanganya laugh ni hatari sana chamsingi tu muweni makini sana
@RithaPhellan-qw3uh
February 13, 2024 - 2:29 pmSafi kabisa huyu ni mwamba haswa,SNS mtafute na mwamba anaitwa Pipstorm,Pipsmakertz…..
Forex is Real na nikiona baadhi ya wasiojua chochote wanaponda tu huwa inanishangaza na kuniumiza…
Lakini maisha ni kuchagua njia uitakayo mwenyeweπ€£π€£π€£
@1robbyposh
February 13, 2024 - 2:29 pmSafi
@saumusalimuhassan2499
February 13, 2024 - 2:29 pmOk
@AnthonysTradingChannel
February 13, 2024 - 2:29 pmYour video was well-explained, thank you for uploading.
@IMANWILLIAM-bl2ui
February 13, 2024 - 2:29 pmSnS nyinyi ndo media pekee mliojitolea kuwaelimisha watanzania. kuhusu technology ya financial markets, wenzetu wasauz, WA Kenya,WA Uganda, Botswana wako mbal sana kwenye hii industry sisi bado Kuna wapuuz wanaamin forex is scam
@pipsJoker
February 13, 2024 - 2:29 pmleo nimemuona kaka mkubwa π€£π€£π€£π€£ muendeleee kutupa elimu ili tuje tupate cha kuwambia watoto wetu
@simonballu1124
February 13, 2024 - 2:29 pmQ NET? πππPUNGUZENI NJAA SNS TUNAWAAMINI ILA MNACHOKIFANYA KUWAPA AIRTIME HAWA MATAPELI TUTAANZA KUWAPUUZA HIVI Q NET HAMJUI KUWA NI MATAPELI , JUZI TU KALYANDA IMELIZA WATU LEO TENA UNALETA MAMBO YA NETWORK MARKETING, WATANZANIA WANAJIFUNZA SIO WAJINGA.
@stephansonhenry-id4wg
February 13, 2024 - 2:29 pmMindset ni muhimu,
@stephansonhenry-id4wg
February 13, 2024 - 2:29 pmBabypips ndo msingi mzima wazee π
@gildasnyaki3812
February 13, 2024 - 2:29 pmTuliofanya network marketing na tunatrade ni hustlers
@emmanueltimba1011
February 13, 2024 - 2:29 pmCamera Man Inabid Ujue Unashoot Kipi Na Kwa Nini
@michaelsamson9663
February 13, 2024 - 2:29 pmNataman kujifunza vip Kuna faida kubwa
@thepenatech5102
February 13, 2024 - 2:29 pmForex is real but only 1% win
@barakanyamafu5937
February 13, 2024 - 2:29 pmMTFE nayo mnaijua
@priscusfabian957
February 13, 2024 - 2:29 pmForex is knowledge… prioh big up upo vizuri
Comments are closed.